Jua kutembea.. Vizuri si kutembea kama LIKOBEE ule wa ile kipindi iliwa
inaitwa VITUKO ya KBC ama Johhny bravo!! u are a lady pliz ... Hapana
tembea kama mtu wa mjengo alar!
Jua kuongea..vitu kama
khai..woishe..powle na az in..huongezea wewe kua mtam kuongea nawe..sio
kuongea na CAPITAL LETTERS ka mluhya ameona ugali!
Have ua own swag ikifka ni kucladi..jua ua type of body na zile nguo
znaambatana/znafaa ..sio wengine naonanga..mtu ako na MATAKO JUU JUU ama
haga inakaa ilikanyagwa na vitz na bado anainsist kuvaa trouser!
Mwingine akona ma alama mob kwa miguu na bado anakazana kuvaa miniskat!
Nktest!
Jua wen to blush n wen to be serious..si kublushingi hata nkikukoll ama ukinifkiria..nkt! .. Kwani wewe ni mtoi wa praimary?!?
Jua wen am sapozd to koll u..sio kila saa unashinda ukiexpekt nkupigie
na kukutext malovey dovey..kwani tutakula hizo text ama uliskia mi ni
mtoto wa Bob Con me More ati slipishwagi kredo??
Jua zile viatu
znakufaa..sio kuvaa high heel alafu unaanza kutembea kama soldier wa
KDF ananyemelea alshabab!! Ama unaanza kutembea nikama mtu amekazwa na
shit!
Jua aina ya miguu zako pliz..ka znakaa za stand ya stove ama post za stima kukonda..kip off mini skirts pliz!!
Jua kukua na hygine... u are a woman rem??? sio kunuka makwapa kama mtu
wa mjengo... sasa wewe ukinuka makwapa unataka Matendechere anuke
nini??? nkt
Unataka niwachane na mabeshte wangu we ndo utakua unanibuyia pombe?? kubaff!!
Hii kwanza..kulia lia kama toi ulifunzwa na nani??ama macho zako
znakuaga na vitunguu ndani 24 saba??aiii..sa ukilia lia ivoo.. mtoi wetu
anafaa kujiua ama??? chidwo!!!
Punguza moshènè na nyenyenye mob.. Kwani wewe hulipwa kuongea???
Si ati chali akikuja kwako kukukatia na vybz za kitoto unaingia box
kifalafala... 2mek it worse, kuna madem wenye hukatiwa na kuchapwa maji
within 24hrs of meeting... Hiyo si hata heri ukakue member wa koinange
street na ukue ukiget salary...
Ku upload pics za chali yako
ati aaaww he means the world to me... He's my boyfie na labda chali
mwenyewe anakaa nikama aliponea fire tragedy... Yaani, yeye na scarecrow
hakuna tofauti